Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga!

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,496
Wataalamu wanatumbia watoto huwa wana-act katika intelligent level baada ya ku-reason kulingana na mazingira na anachokielewa. Majibu ya watoto huwa yanafikirisha ama kushangaza. Juzi juzi nilipiga simu nyumbani nikawa naongea na dogo ana umri wa miaka mitano. Nikamuuliza unafanya nini, akajibu anaangalia mpira. Nikamuuliza nani na nani wanacheza, akajibu Iran na Spain (of course baada ya kuambiwa na mama yake). Nikamuuliza we unashabikia timu gani, akajibu Iran. Nikamuuliza dada yake yuko timu gani, akasema Spain. Nikamuuliza na kaka yako nae anashabikia timu gani, akaniambia hapana kwasababu team ziko mbili tu. Dah! nilicheka sana huku nawaza. Kweli watoto hawapendi maswali ya kijinga.
Hebu tupe kisa kimoja kama ulishawahi kukutana na majibu ya kushangaza ya watoto.
 
Hayo maswali uliyapanga kabla au ulitaka kuhakikisha kama mke ako iko nyumbani na watoto wakati huo ajachochora.....hiyo ndo ingekua mada kuu wanaume tunao fanyia kazi mbali tutapa tabu sana kipindi hiki
 
Hii nimeipenda .. soma na hii ..
Mtoto wa jirani yangu (chini ya miaka 6) alimwambia mama yake kuwa kesho haendi shule kwa sababu mwalimu amemwambia anadaiwa hera.. mama wa huyo mtoto akamweleza yule mtoto wake hivi "ni kwa nini hayanipigia simu mimi ambaye napaswa kulipa?" mtoto akamweleza mimi sijui.
Siku iliyofuata mtoto akaenda shule ila wakati anarudi hakuja na madaftari ... mama yake akamuuliza ni kwa nini hajaja na madaftari .. mtoto akamjibu .. si usubiri mwalimu akupigie simu kukueleza ni kwa nini sijaja na madaftari ...
Yule mama akachukia akaanza kumchapa huyo mtoto ... mtoto akakimbilia hapo nyumbani kwangu - akanikuta nikiwa na mama watoto wangu , akatueleza kisa kizima ... wakati wa mahojiano na mama watoto wangu .. niligundua kuwa huyo mtoto alikuwa na akili ya ajabu.
 
Mwanangu wa miaka 4.5 alinikimbia nikawa namuita na yeye anakimbia tu
Baada ya muda akasimama nikamuuliza wakati nakuita mbona hukusimama akanijibu " Nikiwa nakimbia masikio hayasikii"
Duu nikabaki nacheka
 
Hayo maswali uliyapanga kabla au ulitaka kuhakikisha kama mke ako iko nyumbani na watoto wakati huo ajachochora.....hiyo ndo ingekua mada kuu wanaume tunao fanyia kazi mbali tutapa tabu sana kipindi hiki
WIvu ni tatizo jingine .. ila mtoa post anaongelea majibu kwa mtoto yalivyokuwa mazuri.
 
Hayo maswali uliyapanga kabla au ulitaka kuhakikisha kama mke ako iko nyumbani na watoto wakati huo ajachochora.....hiyo ndo ingekua mada kuu wanaume tunao fanyia kazi mbali tutapa tabu sana kipindi hiki
HAHAHAHHAHAHAAA! Nilisha-cheki usalama na Whatsapp video call. Ndo nikapiga simu ya mezani kuongea na wototo. Shauri yako......usipojipanga utapangwa!
 
Amekuja mtoto wa mama etu mdogo nyumbani,,,sasa ni mtundu sana sana yuko pre unit ila hajui kusoma ,,
Sasa anautundu wa maudhi sana,,,nikamkaripia nikamwambia acha utundu,,tulia utundu umekujaa kichwani hamna kitu hapo hujui kusoma wala kuandika,,alichojibu sasa,,akanambia NINGEKUA NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA SI NINGEKUA LA SABA,nikawa mdogoo
 
Mwanangu wa miaka 4.5 alinikimbia nikawa namuita na yeye anakimbia tu
Baada ya muda akasimama nikamuuliza wakati nakuita mbona hukusimama akanijibu " Nikiwa nakimbia masikio hayasikii"
Duu nikabaki nacheka
Hahahaaaa!!!
 
Haha mtoto wa Dada angu anamajibu yanayonifanya wakati mwingine nifikirie zaidi
 
Amekuja mtoto wa mama etu mdogo nyumbani,,,sasa ni mtundu sana sana yuko pre unit ila hajui kusoma ,,
Sasa anautundu wa maudhi sana,,,nikamkaripia nikamwambia acha utundu,,tulia utundu umekujaa kichwani hamna kitu hapo hujui kusoma wala kuandika,,alichojibu sasa,,akanambia NINGEKUA NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA SI NINGEKUA LA SABA,nikawa mdogoo
savage[emoji1] [emoji1]
 
Nyumba ya kupanga nnapoishi kuna jamaa choko lakini haoneshi ila tunajua!sasa nna dogo wa miaka 5 hivi.siku hiyo gari ya majitaka imekuja kuvuta nikasema kimaskhara tu sijui nani aliejaza choo!
si akamnyooshea jamaa kidole huku anasema yule pale kila saa anaenda kupuu!niliingia ndani spidi kwa kuona aibu
 
Hahahaaaa!! Yaani usijichanganye mbele ya watoto. Hawapepesi!!!!
 
Back
Top Bottom