Je, masokwe wakifa huenda mbingu ipi?

Je, masokwe wakifa huenda mbingu ipi?

Ni vyema tukelezwa bila kufichwa ukweli.
Kwani sisi binadamu si sokwe wakubwa tusio na manyoya mengi mwilini? Maana wale walioko porini si cousin zetu biologically?

Tukifa tutakutana nao heaven au hell...baba Fifi na mama Fifi sokwe.
 
Mbingu ya masokwe.
Itakuwa ccm sikuhizi wanapiga hadi shangazi zao

IMG_20180703_102647.jpg
 
Back
Top Bottom