Tunajifunza nini kutoka kwa Wahindi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,274
Je, wajua kuwa Wahindi ndio watu waliotawanyika zaidi Duniani ?

Je, wajua idadi ya Wahindi au watu wenye asili ya India wanaoishi bara la Ulaya ni zaidi ya wananchi wa Belgium, Norway, Uswisi na Poland?

Je, wajua wahindi ni wengi sana kwenye bara la Afrika? Nchi kama Mauritius asilimia 40 ni wahindi.

Je, wajua Kenya na South Afrika zinaongoza kwa kuwa na wahindi wengi Afrika?

Je, unajua kuwa wahamiaji wa kihindi Amerika takwimu zinaonyesha wamesoma sana kuliko Waamerika wenyewe?

Je, wajua kuna maelfu ya wahindi Canada, New Zealand na Australia?

Je, wajua kuwa kila taifa lililoendelea kuna mchango wa wahindi kama USA, UK, Australia na Canada?

Je, wajua Uingereza na Marekani zina wahindi wengi zaidi ya mataifa mengi ya Ulaya na Amerika?

Je, wajua nchi za Mashariki ya kati UAE, Qatar nk zina wahindi wengi wahamiaji kuliko maeneo mengine duniani?

Je, unajua wahindi wamefanikiwa sana nje ya nchi yao kuliko ndani ya nchi yao ?

Je, wajua kuwa pato la Wahindi waishio Marekani ni kubwa kuliko pato la wazawa?

Je, wajua kuwa wahindi waishio uhamishoni ni matajiri kwa maana ya pato mara tano ya pato la nchi ya India?

Je, wajua India lilikuwa taifa tajiri mpaka lilipovamiwa na wakoloni wa kiingereza ?

Je, wajua India ni miongoni mwa mataifa yanayokisiwa kuwa super power siku za usoni ?

Je, wajua idadi kubwa ya watu duniani wanaabudu dini nne zilizoanzishwa india ?

Je, wajua wahindi wana identity mbalimbali kulingana na nchi waliyopo?

Je, wajua kuwa wahindi wanaongoza kufungua makampuni na kuyamiliki?

Je, wajua kuwa kampuni liloajiri watu wengi duniani kuliko yote liko india ?

Nini siri ya watu wa India ?

Tunajifunza nini kwa watu wa India ?

Mchango wako unahitajika...
 
207909CA-E1AC-4D2A-A09C-69B89F5CD1C6.jpeg
 
Kupendeleana wenyewe kwa wenyewe!
Dini kwao ni biashara kubwa,
Wako focused wakiamua jambo.
HAWA WATU NI MFANO WA KUIGWA WALAHI!
 
wabaguzi wakubwa hawa wanapenda mademu zetu ila wakwao hawataki tuwe nao sometime hawana utu kabisa kwenye kazi hasa wakiwa ndo wamekuajili

alafu ndo wanaongoza kwa vilemutuzi
 
Unajua kuwa wahindi ndio wataalam wa mathematics na Computer.
Je unajua kuwa wahindi wakiachishwa kazi MICROSOFT basi italazimika kupatikane Microsoft ingine India
Je wajua kuwa Wahindi ndio wanaoongoza kwa ubaguzi Duniani. MAZURI TUYACHUKUE MABAYA TUYAACHE.
 
Je, wajua kuwa Wahindi ndio watu waliotawanyika zaidi Duniani ?

Je, wajua idadi ya Wahindi au watu wenye asili ya India wanaoishi bara la Ulaya ni zaidi ya wananchi wa Belgium, Norway, Uswisi na Poland?

Je, wajua wahindi ni wengi sana kwenye bara la Afrika? Nchi kama Mauritius asilimia 40 ni wahindi.

Je, wajua Kenya na South Afrika zinaongoza kwa kuwa na wahindi wengi Afrika?

Je, unajua kuwa wahamiaji wa kihindi Amerika takwimu zinaonyesha wamesoma sana kuliko Waamerika wenyewe?

Je, wajua kuna maelfu ya wahindi Canada, New Zealand na Australia?

Je, wajua kuwa kila taifa lililoendelea kuna mchango wa wahindi kama USA, UK, Australia na Canada?

Je, wajua Uingereza na Marekani zina wahindi wengi zaidi ya mataifa mengi ya Ulaya na Amerika?

Je, wajua nchi za Mashariki ya kati UAE, Qatar nk zina wahindi wengi wahamiaji kuliko maeneo mengine duniani?

Je, unajua wahindi wamefanikiwa sana nje ya nchi yao kuliko ndani ya nchi yao ?

Je, wajua kuwa pato la Wahindi waishio Marekani ni kubwa kuliko pato la wazawa?

Je, wajua kuwa wahindi waishio uhamishoni ni matajiri kwa maana ya pato mara tano ya pato la nchi ya India?

Je, wajua India lilikuwa taifa tajiri mpaka lilipovamiwa na wakoloni wa kiingereza ?

Je, wajua India ni miongoni mwa mataifa yanayokisiwa kuwa super power siku za usoni ?

Je, wajua idadi kubwa ya watu duniani wanaabudu dini nne zilizoanzishwa india ?

Je, wajua wahindi wana identity mbalimbali kulingana na nchi waliyopo?

Je, wajua kuwa wahindi wanaongoza kufungua makampuni na kuyamiliki?

Je, wajua kuwa kampuni liloajiri watu wengi duniani kuliko yote liko india ?

Nini siri ya watu wa India ?

Tunajifunza nini kwa watu wa India ?

Mchango wako unahitajika...

Source??
 
Kuna watu wapo fasta kukimbilia kueleza mabaya ya watu utafikiri kuna jamii hapa duniani ambayo haina mabaya na yeye ndio hutokea huko.

Ubaguzi upo wa aina nyingi na upo sehemu zote na hufanyika kila siku katika maisha yetu ya kawaida na hatutokuja kuishi maisha yasiyo na ubaguzi,hivyo si jambo la kuwabatiza jamii fulani kuwa ndio wabaguzi.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom