Wakuu natafuta miche ya Mwashoki

Wakuu natafuta miche ya Mwashoki

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,878
Natafuta miche 20 ya mwashoki..Nitaipata wapi na kwa bei gani kwa mche ..Nimejaribu kuchek pale mcity na Sayansi sijafanikiwa kuipata..In addition to that natafuta pia maua aina ya Jasmine..With much thanx in advance
 
Okay thanx wanauzaje mche?
 
Mwashoki?nikajua ndugu zangu wa Tukuyu na Kyela.Ashok mkuu.Hyo miti ni ya kuitafuta kweli dar hii?hata pale Mapambano kwenda Afrikasana ipo kibaaoo
 
Back
Top Bottom