Tusua Mapene ya vodacomu ni usanii mtupu

Tusua Mapene ya vodacomu ni usanii mtupu

Kizuio

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
845
Reaction score
522
Unaambiwa eti fulani kashinda milioni 11 jina lenyewe hata ukilitafuta kwenye kitabu cha majina ya tanzania hupati
Wacha niwape heshima Biko maana nimeshatusua mpaka milioni 1
Lakini hawa tusua mapene Mungu anawaona

Haya huyu donsea kusumo ni makazi wa wapi mbona hamsemi
 
Kuna Mbeba Mizigo katusua 300m 🙁🙁🙁 ,sichezi hiyo michezo mpaka mtu ninayemfahamu akishinda.
 
Kuna Mbeba Mizigo katusua 300m 🙁🙁🙁 ,sichezi hiyo michezo mpaka mtu ninayemfahamu akishinda.
Hii ni tatu mzuka hata mimi nimemsikia akiongea ni jamaa wa kawaida tu
Ila huu mchezo wa tatu mzuka sijawahi kuuelewa mpaka leo
 
Mie nshaapa sichezi hiyo michezo mpaka nishuhudie mtu nayemjua ameshinda na kweli naona hela yake yote kapewa na kaitumia.
Nadhani tunafanana siku zote mama lishe na fundi makanika sijui boda boda mara cherehani mara kufuga kuku ndio huwa wanashinda sijwahi kusikia hata siku moja eti mfanyakazi wa mwalimu, Dr na Nurse wameshinda
 
Hahahaa sasa lazima uwe mjasiriamali sasa mpaka usubiri mwezi Ufike ndio ucheze wapi na wapi
 
umasikini ni shida sana ! hivi bado mnaamini mnaweza kupata utajiri kwa njia ya kichovu kama hiyo ?
 
Mie nshaapa sichezi hiyo michezo mpaka nishuhudie mtu nayemjua ameshinda na kweli naona hela yake yote kapewa na kaitumia.
Michezo ya kubahatisha inayoandaliwa Tanzania mingi ni ya uongo, ina uongo mwingi na ukweli kidogo sana. Kiwango cha uaminifu cha nchi yetu bado ni cha chini sana sana. Kama mtu unataka mchezo wa haki basi bora ubet vitu kama mpira.
 
Back
Top Bottom