Tunaingia Mererani kwa vitambulisho vya taifa

Tunaingia Mererani kwa vitambulisho vya taifa

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,445
Hali hiyo imejitokeza siku moja baada ya uchunguzi wa Kamati ya Bunge kubaini kushuka kwa mapato yatokanayo na madini ya Tanzanite
asilimia kubwa ya wachimbaji hawana vitambulisho,nafikiri hili zoezi tulikuwa hatujajipanga ni usumbufu mkubwa

madini+pic.jpg

37301749_10156614711809339_4346800090904526848_n.jpg
 
Hali hiyo imejitokeza siku moja baada ya uchunguzi wa Kamati ya Bunge kubaini kushuka kwa mapato yatokanayo na madini ya Tanzanite
asilimia kubwa ya wachimbaji hawana vitambulisho,nafikiri hili zoezi tulikuwa hatujajipanga ni usumbufu mkubwa

View attachment 812721

View attachment 812728
Wengine huwa tunauona uharisho unakuja, halafu wanapofikiri huu ushuzi tu wanajiachia, matokeo yanaonekana wazi.

Uzuri mambo mengine hayahitaji habari za kusubiri kiyama, tunaona hapahapa duniani.

Tulishaonya kwamba huu ni ujinga hapa. Tukakejeliwa.
 
Sio solution,wala haitakuja kuwa solution

mark my words
 
Wengine huwa tunauona uharisho unakuja, halafu wanapofikiri huu ushuzi tu wanajiachia, matokeo yanaonekana wazi.

Uzuri mambo mengine hayahitaji habari za kusubiri kiyama, tunaona hapahapa duniani.

Tulishaonya kwamba huu ni ujinga hapa. Tukakejeliwa.

Sina uhakika hata kama zege la ukuta limekauka vizuri. Lakini kwanini wabunge na hiyo kamati yao washurutishe watu badala ya kuanza kuliangalia kosa lao la msingi kuanzia wazo na ujenzi wenyewe wa huo ukuta? "This is not even uharo"
 
Hahahaha, look what I done started now.

Tunafanya mambo kwa woga, badala ya kwa uchunguzi.

Na hatujaanza leo. Hata zoezi la kuhamisha vijiji kwenda ijiji vya Ujamaa watu walifanya mambo ya ajabu huku wakifikiri wanamfurahisha bwana mkubwa.

Tatizo leo kuanziabwana mkubwa mpaka huko chini wengi hawana exposure.
 
Kukosa exposure ni tatizo lakini sio mbaya sana, kuna wengine huwa wanalitambua na kulielewa hilo, wanawapa nafasi wenye exposure kuziba mapungufu yao.

sasa unapokuwa huna exposure na kujitia ujuaji, matokeo yake ndio kuja na vitisho kufidia mapungufu. Unajua hata ukiweka mikakati na mipango mizuri mambo yakaenda kitaalam na kuleta tija, bado nafasi yako itabaki pale pale tu.

Umimi ukitawala, lazima vitisho vifunike utaalam, uzoefu, weledi, exposure na yote yafananayo, lengo inakua kumfurahisha mkubwa.
 
Kukosa exposure ni tatizo lakini sio mbaya sana, kuna wengine huwa wanalitambua na kulielewa hilo, wanawapa nafasi wenye exposure kuziba mapungufu yao.

sasa unapokuwa huna exposure na kujitia ujuaji, matokeo yake ndio kuja na vitisho kufidia mapungufu. Unajua hata ukiweka mikakati na mipango mizuri mambo yakaenda kitaalam na kuleta tija, bado nafasi yako itabaki pale pale tu.

Umimi ukitawala, lazima vitisho nifunike utaalam, uzoefu, weledi, exposure na yote yafananayo, lengo inakua kumfurahisha mkubwa.

On that very subject:-

Katika utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, rais alipata majaribio mengi ya busara yake.

Jaribio moja lilikuja kipindi cha kubadili mfumo wa siasa kutoka chama kimoja, kwenda kwenye vyama vingi kwa miaka mingi sana.

Rais Mwinyi -pamoja na waTanzania karibu wote- alikuwa hajui mabadiliko hayo yataendaje, nchi yetu ilikuwa haijawahi kuwa ya vyama vingi.

Akawa anauliza wasaidizi wake, mabadiliko haya yanafanywaje? Kila mtu akawa hajui kujibu swali hili vizuri.

Mtu mmoja akasema hapa tumuite George Liundi. Mzee Liundi akaitwa, akaulizwa, akawa anaelezea kireefu sana mchakato wote unavyokuwa, ofisi zinazotakiwa kuwa, akataja ofisi ya Msajili wa Vyama, majukumu yake yanakuwaje, jinsi itakavyosimamia vyama na mambo mengine mengi sana.

Mwinyi alivyoona vile akafurahi sana, akasema nishampata mtu wangu wa kuniongoza katika hili.

Akashauriana na watu wake, akamteua George Liundi kuwa Msajili wa Vyama, Liundi akawa anamuongoza rais Mwinyi katika mchakato mzima wa kwenda vyama vingi mpaka ukaisha.

Mwinyi hakuwa na makuu ya kujifanya anajua kila kitu, na alijua kwamba kuna watu watamsaidia kuongoza nchi, aliwaamini (mara nyingine alizidisha kuwaamini wakamuharibia).

Tatizo kwa sasa,rais anajiona yeye anajua kila kitu kuliko mtendaji yeyote wa serikali.

Hata watu wenye uelewa mzuri zaidi yake wanaogopa kumshauri vizuri.
 
Huyu malaika kiongozi ni rahisi sana kuingizwa chaka na watu wake. Ile maneno ya JK ya "Changanya na za kwako" still holds water
 
Back
Top Bottom