GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,926
Scholar # 1.
Mtoto hapashwi kumpenda, kumsifia na kumshukuru sana Mama yake kwa Kumzaa kwakuwa hata Kiiumbaji ni jukumu la Mama kubeba Mimba na Kumtunza Tumboni mwake ndani ya hiyo miezi Kenda au pungufu yake.
Scholar # 2.
Mtoto anapashwa sana kumshukuru na tena kumpenda sana Baba yake kuliko Mama yake kwakuwa ni juhudi za Baba yake ndizo zimejitahidi hadi kuweza Kumneemesha Mama yake ndipo akapata Zawadi ya Mimba na Yeye kuzaliwa na kwamba Baba angeamua kuzitoa nje / besela basi asingezaliwa.
Nawasilisha.