Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili.
Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani...
Jana saa kumi jioni nilihisi kuchoka na kama kukata tamaa vile,
Na kuona mbona ni kama najitahidi kupambana na ninarudishwa nyuma,
Yaani ni kama kuna nguvu zinanifanya nisipige hatua na hata...
Sisi wakazi wa Jiji la Tanga, Kata ya Masiwani, Mtaa wa Tanzanite, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kukarabati na kuboresha daraja la Kanisani.
Tumekuwa tukipata changamoto kubwa kuvuka katika...
Baada. ya Jengo kubwa lililojengwa na Kumaliziwa kwa juhudi za Mh Samia , ambalo ni NHC Morocoo Square, lenye ofisi nyeti za Serikali , yaani hazina , imegeuka kuwa kijiwe cha majambazi na wezi...
Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate...
Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU...
Kuna kauli moja inasema hivi,
Wajinga hawachukii elimu yenyewe, bali humchukia mtu anayewafanya waone jinsi walivyo na upungufu wa maarifa.
Hivi karibuni kuwekuwa na hali ya watu...
Uyu bro hata akishawishika watu wengi tutaamini jamii ya kabila lake kua ni jepesi sana kufuata fulsa ya fweza then ataunganishwa na tabia binafsi na pia kama atamudu kukaza angalau ataonekana...
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Paternus Niyegira, amesema kuwa wananchi ndio wenye mamlaka kuu ya kuwawajibisha viongozi kwa sababu wao ndio waliowapa mamlaka hayo kupitia mkataba wa kijamii na...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya...
Bodi ya Filamu Tanzania imewakumbusha wamiliki wa Maktaba za Video (Video Library) nchini kuhakikisha wanasajili biashara zao na kuhuisha leseni zao kwa mujibu wa sheria na kanuni za filamu...
Leo, tumetuma kontena lingine kutoka Malawi🇲🇼 hadi Ulaya. Limejaa vikapu vyetu vilivyotengenezwa kwa mikono, viti na vipande vingine vilivyotengenezwa na Akhada Baskets.
Kila wakati tunapakia...
Bwana Yesu Asifiwe. Tusifike mbali maisha ya machimbo ya dhahabu yasikie tu kwa jirani kama unampenda mtoto wako huwezi ruhusu akatafute maisha machimbo sisemi kwamba watu wasiende ila naandika...
Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au...
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Azaveli Lwaitama, amebainisha kuwa hasira za wananchi na madai ya Katiba Mpya nchini zinachochewa na hulka ya asili...
Ulifanya ACSEE ukapita vizuri. Maths ukapata A😎
Kwa sababu wewe na hesabu mlikuwa kama mapacha waliozaliwa siku moja, ukaamua kuingia university uchukue Statistics, Pure Mathematics na kila course...
Wakuu kwema…
Tuwape elimu ndogo vijana wa sasa kuhusu namna baadhi ya huduma zamani ilibidi upange foleni kwa kufika ofisi husika ili uhudumiwe.
1. Luku
Ili upate huduma ya kununua umeme (luku)...
Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake
Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe
Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa
Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na...
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana...