Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,643
- 1,111
Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake
Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe
Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa
Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe
Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo awaachie
Asante yenu ilikuwa matusi
Msidhani mtamtukana mnavyotaka ninyi na iishe juu
Mbowe sio samaki hata machozi yake yaishie baharini kanakwamba hawezi kuwalaani
Mmemtukana matusi yakila aina lakini hamkumbuki kuwa yeye ndiye aliyewajengea msingi wa mafanikio yenu ya sasa
Mlidandia treni kwa mbele sasa inawakanyaga hampaswi kulia kwasababu mliyataka wenyewe, tulieni dawa iingie taratibu kwasababu mkiruka itamwagika
Kaeni kwa kutulia kwasababu yajayo yanafurahisha
Maji mtaita mma