Siyo kila mtu anazo sifa za kushika silaha. Na siyo kila mtu anazo sababu za kushika silaha.
Kamwe usiruhusu wanasiasa kuinajisi kada ya jeshi la polisi kwa kutafuta umaarufu kwa kushika shika ama kuvaa sare zenu.
Kwani waziri hawezi kutoa maelekezo yanayohusiana na jeshi mpk avae sare zenu na kushika silaha?
Mbona waziri Mwinyi hafanyi hivi?
Mbona waziri Ummy hashiki sindano ama mikasi ya upasuaji?
Hivi huyu pichani anatofautiana vipi na mbunge Goodluck aliyezindua chanjo kwa kumdunga mtu sindano?
Halafu muangalie vizuri usoni, ana utulivu wote kichwani ama kuna jambo analiwaza? Vipi akiitumia vibaya silaha kulingana na mawazo yake?