zeck 9t
New Member
- Jul 21, 2018
- 4
- 1
Habari zenu wapendwa katika bwana..!! Asalam Alekh!! Kwanza ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa wana JF kuwa pamoja muda huu... sina mengi ya kusema ila jambo kubwa nalotaka kuwaeleza ni juu ya kujitolea figo kwa mtu yoyote ambae yupo katika hali mbaya, nimeamua kufanya hivi kutokana na kuguswa na matatizo ya watanzania wenzangu. Hasa upande wa magonjwa kama haya. Hivyo kama una ndugu au rafiki ambae anahitaji msaada wa hivi naomba uwasiliane na mimi ili kufata taratibu nyingine za kiutabibu.
MUHIMU: Sifanyi biashara ila nimeamua kujitolea kwa mgonjwa alie na hali mbaya.
Contact: zeckp34@gmail.com
MUHIMU: Sifanyi biashara ila nimeamua kujitolea kwa mgonjwa alie na hali mbaya.
Contact: zeckp34@gmail.com