Inataka kuwa mchawi ndugu jiandae kula nyama na damu za watuKama uzi unavyojieleza, naomba maelezo ya kutosha kuhusu Ouija board,nimedokezwa tu Kuwa inafanya communication na spirit ya Watu waliokufa.
Hujui km uchawi upo everywhere. ..unazan wazungu mambo ya ouija board wanayajuajeNi vigumu kumtenganisha mwa Africa na uchawi hata kama ana PHD au ni Padiri, mchugaji, Tajri au Masini. Mind zetu ziko intoxicated na uchawi mpaka kiama......sijui tufanye je duh