Msaada kwa hiki kinachonitokea

Msaada kwa hiki kinachonitokea

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,528
Kuna kaugonjwa sijui ni alage au ni nini yaani kabla sijaanza kula chakula kuna mda masikio yanaanza kuwasha ghafla hadi najikuta najikuna na kile kijiko nimeshajaribu kuosha kwa maji na sabuni kabisa lakini bado hii hali naisikia lakini sio kila siku ni mara chache kwa wiki mara tatu au nne hivi.
 
Back
Top Bottom