Gawio la Vodacom mwaka huu

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nikiwa Mwanahisa wa Vodacom ninaomba kutaarifiwa kama gawio la Vodacom mwaka huu limetolewa kwa wanahisa?.
 
Bado hawajatoa japo ni kitambo tangu waseme gawiwlo litakuwa kiasi fulani. Voda hawaeleweki kama awamu ya 5
 
Back
Top Bottom