X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,019
Jamani hali tete tunaokinga pochi tarehe kama hizi huwa za raha maana mapochi hutuna...
Kwa tuotegemea malipo ya mara 12 kwa mwaka tuna tabu sana hasa mambo yakicheleweshwa...vipi mmeshaingiziwa mshahala huko...?