Ushauri Kwa Mkambala

Ushauri Kwa Mkambala

Huyu jamaaa ni mweupe sana ktk contents hicho kipindi kibwana dachi anakibeba sana kama hayupo siskilizi. Utakuta Mkambala ikifika wakati wa michezo naye anajifanya expert hahaaa
 
Namkubali na yule mdada Mzerikwao, Kibwana Dachi na kaka mwingine jina limenitoka lakini akianza kuongea Mkambala huwa na- mute voice nategeshea akimaliza naongeza volume. Sijui kwanini wasimuondoe hapo anaboa sana Mkambala eiseh!!
 
Huyu jamaa wamuamishe kwenye hicho kipindi hafaiiíiiii kbc
 
Tatizo linakuja wakiondolewa wate kipindi kitapwaya la umuhimu ni kujirekebisha tuu
 
Kila mara unamwandama sana Mkambala itakuwa alishawahi kukutafuna au alishatafuna mke wako
 
Namkubali na yule mdada Mzerikwao, Kibwana Dachi na kaka mwingine jina limenitoka lakini akianza kuongea Mkambala huwa na- mute voice nategeshea akimaliza naongeza volume. Sijui kwanini wasimuondoe hapo anaboa sana Mkambala eiseh!!
Ni Orest Kawau....mimi mwenyewe nilishawahi kuleta thread kumuhusu Mkambala anaharibu Sana kipindi, kujifanya kila kitu anajua yeye Mara michezo anajua yeye Mara siasa kumbe anaongea pumba tupu
 
Ahsante Mkuu ni Orest.
 
Ni Orest Kawau....mimi mwenyewe nilishawahi kuleta thread kumuhusu Mkambala anaharibu Sana kipindi, kujifanya kila kitu anajua yeye Mara michezo anajua yeye Mara siasa kumbe anaongea pumba tupu

ujuaji unazidi mpaka anaonekana muongo
 
Back
Top Bottom