Swali langu kwa wenye uweludi

Swali langu kwa wenye uweludi

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Wana Jamvi,
Ninaswali tunasoma katika vitabu vya Dini zote kuwa Mungu aliumba Mbingu na nchi na vilivyomo vyote sawa nakubaliana navitabu hivyo swali langu je Hizi sayari 8 zilizobaki aliziumba nani?je na hao viumbe waliopo katika hizo sayari aliumba nani?na hakuna ubishi juu ya aliens walioko huko katika hanga za juu.
Naomba kujibiwa
Asanteni.
 
Jaribu kwanza kujua tofauti kati ya mbingu na nchi......kwa kuanzia hapo ndo kidogo unaweza pata mwanga......nikupe homework,Fanya research kuhusu universe(mbingu).
 
Last edited:
Wana Jamvi,
Ninaswali tunasoma katika vitabu vya Dini zote kuwa Mungu aliumba Mbingu na nchi na vilivyomo vyote sawa nakubaliana navitabu hivyo swali langu je Hizi sayari 8 zilizobaki aliziumba nani?je na hao viumbe waliopo katika hizo sayari aliumba nani?na hakuna ubishi juu ya aliens walioko huko katika hanga za juu.
Naomba kujibiwa
Asanteni.
Ulimwengu ni ukubwa usio na kikomo kwa ufikiri wa Binaadamu na Dunia ni katufe kadogo sana kama goroli ya baiskeri kaliko shikiliwa na nguvu ya uvutani wa nyota tunayoiita Jua

Mfano mdogo katika picha kuhusu Ulimwengu hii ya kwanza ni milk away galaxy ambamo kuna nyota yetu ndogo tunayoita Jua imezungushiwa mduara

Picha ya pili ni makundi ya galaxies katika mjumuiko wa mabilion ya nyota (majua)

Picha ya tatu ni solar system yetu na Dunia imezungushiwa duara nyekundu

795px-Planet_Discovery_Neighbourhood_in_Milky_Way_Galaxy.jpeg
images.jpg
IMG_20180709_093904_436.jpg
 
Back
Top Bottom