Msaada: Ni kijana lakini nimeanza kuzeeka njooni mniokoe

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Madeni NMB 5,80,000 per month miaka 5
Nilijenga ,nikanunua mashamba kuwekeza
Mshahara kwa sasa laki 5+

Nyumbani mama mzazi ni tegemezi na madogo 2
Mfanyakazi namlipa mimi
Bill ya maji mimi
Umeme

Nyumbani kwangu
Bill ya solar 690000 per month

Mtoto nimezaa nje kabla ya kuoa ada 560000 kwa mwaka matumizi 85000 per month
Huduma ya chakula home kwangu
Maendeleo ya nyumbani
Ndugu zangu nitatokaje kwenye hili balaaa hadi kuna mda nakua na hasira tu kwani naendelea kurudi nyuma,hata nguo ninazovaa za kiwango cha chini suruali 2, viatu vya 2500
Nimekuja kumwaga stress hapa mnipe ushauri
Karibuni kwani nimepauka nimepoteza nuru ya uso na makunyazi yameanza kuja kwa kasi

KUTOKA KWA RAFIKI YANGU NIMESOMA NAE

Amekuja jana jioni nilipokua nimerudi kutoka katika kazi za watu tusaidiane kumshauri mm nilichoka nikamwambia tuonane jumamosi tutoke sehemu
 
Solar laki 6.9 kwa mwezi? Si mshahara unakuwa umeisha?kwanini ustumie umeme wa tanesco?hata kama ulimaanisha 69,000/=
 
Mbona gharama ulizoorodhesha ni zakufikirika sana. Kuna uhalisia hapo? Solar 690000 per month?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom