Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu.
Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa...
Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule
Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani...
25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza
Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari...
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka...
Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa.
Mamlaka ya maji...
Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha...
Je,serikali ambayo unasema inaendelea bidhaa fake na kutoa takwimu za uongo juu ya idadi waliouliwa oktober 29 unaamini inaposema watanzania wenye ukimwi ambao wako registered ni less than million...
Kero yangu ni Askari wa Usalama Barabarani maeneo ya Magari Saba Mbezi Luis hawafanyi kazi yao ipasavyo
1. Maskari wanajazana hapo Magari Saba Mbezi Luis halafu hamna bango la speed 50...ina...
Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15.
Wanafanya hivyo ili mamlaka...
Naomba kutoa taarifa kwako Jumaa Aweso waziri wa Maji. Sisi wakazi wa Mtaa wa Elerai jirani na shule ya msingi Burka tunahujumiwa na wasimamizi wa huduma za maji. Leo ni week ya tatu hata tone...
Mwl. Nyerere alisema kuwa duniani kuna majeshi ya mamluki ambao hupigana kwa ajili ya fedha pekee. Alitolea mfano baadhi ya mamluki waliowahi kuwepo Congo, akieleza kuwa mtu wa aina hiyo hufanya...
Vita havijawahi kuwa na faida yoyote ndugu zangu ni heri kusubiri miaka 20 au 30 huenda ipo siku atatokea raisi kama Magufuli mwingine atakayethubutu kubadilisha mfumo MUNGU Bado ana watu wenye...
Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips.
Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu?
Msamvu je?
Habari .
Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.
Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)
Hii ni fedha...
Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini.
Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei...
Habari za tajiri muulize Masikini,
Ukibisha pinga kwa hoja.
Naam kihasibu min -me anao utajiri wa angalau 1B.
Unasema Mfilisiti unamaana gani?
Huwezi kupata hasara ya 40M ikiwa huna sustainable...
Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa?
Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini?
Karibuni waugwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.