Hapo mwanzo alikuwapo Neno, Naye neno alikaa Kwa Mungu. Mungu aliumba ulimwengu Kwa kutamka: nakuwepo anga, nakuwepo jua na vingine na vyote vikatokea. Sasa basi kumbuka pia kuwa Mungu alimuumba...
Katika watu waliosoma wakaelimika na wenye upeo wa kujua na kuelewa mambo mengi katika kizazi hiki hapa Tanzania, Zitto ni mmoja wa watu hao.
Nikisiliza michango yake bungeni na hata akifanyiwa...
Geita. Halmashauri ya mji wa Geita imeongeza kata tatu na kuifanya kuwa na kata 16 ikiwa ni mchakato wa kutaka ipande hadhi na kuwa manispaa.
Kata zilizoongezwa ni Nyanza yenye mitaa mitano...
Kamanda wa Mkoa wa Dodoma Kamanda Muroto kwa muda mfupi ameonyesha kazi nzuri sana kwa kuahakikisha Mkoa wa Dodoma unakuwa salama kwa kuahakikisha idara zake zote zinafanya kazi inavyopaswa...
Hiz tafiti cjui Magufuli anapendwa na nani cjui hpendwi na nani, hazina msaada wwte katika maendeleo ya nchi hii. Tunataka tafiti zenye tija.
Tunahitaji tujue ni viwanda vingapi vimejengwa...
Walikuja vijana wa will wamevalia t shirt za Vodacom mpesa wakamkuta maza angu wakamwambia lete line yako tuibadilishe iwe line ya chuo Sasa mama akatoa line yake akawapa wakaweka kwenye simu yao...
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu...
Wana JF mi nlijua baada ya Mhe Waziri Kangi Lugola kumuomba IGP kutoa maelezo kuhusu swala la mabasi kutosafiri usiku kucha na maduka kutokuwa wazi usiku kucha kutakuwepo na mabadiliko kuanzia...
Babati. Mwanafunzi (8) wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Maganjwa Wilayani Babati, Manyara (jina linahifadhiwa) amebakwa na mkazi wa Kijiji hicho na kuharibiwa vibaya sehemu zake za siri hali...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja ya msingi, ninyi kama ndugu kwangu naingependa kupata msaada kwa hili tatizo langu,
nimekuwa...
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Mwanamke na Uongozi ambayo makao makuu yake yako Mwenge Dar es salaam iliyoanzishwa na vijana wa kike wakiwa bado masomoni ktk vyuo vikikuu miaka michache tu...
KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza michezo ya Pokemon iliyoko kwenye simu hizo.
Yuan, mwenye umri wa miaka 69 na anayeishi jiji...
Kupitia Nyota tunaweza kujua tabia za viongozi wetu na ningependa kushauri kabla ya kumteua kiongozi lazima background ya nyota yake itizamwe.
Leo ningependa kuangalia nyota ya hawa viongozi wetu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh Kangi Lugola akiongea na East Africa Redio asubuhi kwenye kipindi cha Breakfast ameagiza kupimwa kilevi kwa kila dereva wa ambaye gari yake inapitia kupimwa...
Dr. Kigwangalla, H.Verified account @HKigwangalla 8h8 hours ago
DAY 6: Leo ziara ya #PoriKwaPori inaelekea wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa. Pichani: Ntembwa Falls ndani ya Lwafi Game Reserve...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto akizungumza na Yuda Mbata ambaye anatuhumiwa kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ili wananchi waandamane April 26 mwaka huu. Watu wawili...
*RC HAPI AKUTANA NA WAZEE WA MKOA WA IRINGA*
*ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE*
*Ni katika mkutano wake na wazee wa Iringa*
*Wazee wafurika, mamia wakosa pakukaa ukumbini*
*Wamshukuru Rais...
wakuu kwema?
hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania?
mfano unakuta kijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda...
2000-2005 hivi nilivutiwa sana na kipindi cha Redio Free Africa kinachoitwa ''mambo mambo na sweet menthol''.
kipindi ikianza ni noma kinachangamsha,nimesahau jina la mtangazaji wako nadhani...
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi...