RC angalia stendi ya daladala Kariakoo gerezani wamachinga walivy ivamia mpaka kero

MartinCoder

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
700
629
Stendi ya Kariakoo Gerezani imevamiwa na wamachinga mpaka kero , ni shidddda!!!! Sehemu za Abiria kusimama kwa ajili ya kusubiria daladala zote zimefunikwa na wamachinga pamoja na bidhaa zao. Viti vya kukalia ambavyo ni kwa ajili ya abiria kukaa kusubiri daladala vyote kwa asilimia kubwa wanakalia wamachinga. Rais wa mkoa saidia saidia saidia ! Watafutie sehemu sahihi ya kufanya biashara Hao Jamaa ili waache kutanga tanga like wise kwenye mitaa ya kongo, msimbazi n.k hakupitiki. Gari Kukatiza kwenye mitaa ile ni shida sana. Mpangilio wa City unaelekea kubaya.
 
Kiukweli Wamachinga pale stand ya Gerezani ni kero kubwa, yaani ustaarabu hakuna kabisaa japo tunapenda wafanye biashara lakini ni bora wakatiwa sehemu nyingine.
 
Kabisa ; ni bomu linalofugwa
Wakipazoea siku wanakuja kutoolewa utasikia oh uonevu ; wakati wamevamia wenyewe
 
Huwezi tenganisha machinga na stand, kilichotakiwa wangebuni vibanda ndani na nje ya stand hadi lile paa La mwendokasi lingewekwa zege ili iwe openi space ya machinga jiji lingeingiza mapato mengi sana l kupitia kodi
 
Ni hatari sana. Mbona SIM 2000 hakuna hii kitu? Ni nani msimamizi wa hiki kituo!? Bora wakigeuze soko kuliko sasa ambapo haki ya mtumiaji daladala imewekwa pembeni hapa Gerezani?
 
Stendi ya Kariakoo Gerezani imevamiwa na wamachinga mpaka kero , ni shidddda!!!! Sehemu za Abiria kusimama kwa ajili ya kusubiria daladala zote zimefunikwa na wamachinga pamoja na bidhaa zao. Viti vya kukalia ambavyo ni kwa ajili ya abiria kukaa kusubiri daladala vyote kwa asilimia kubwa wanakalia wamachinga. Rais wa mkoa saidia saidia saidia ! Watafutie sehemu sahihi ya kufanya biashara Hao Jamaa ili waache kutanga tanga like wise kwenye mitaa ya kongo, msimbazi n.k hakupitiki. Gari Kukatiza kwenye mitaa ile ni shida sana. Mpangilio wa City unaelekea kubaya.
Ufumbuzi ni kujenga stendi nyingine kwaajili ya abiria na hii iwe soko la machinga.
 
Wapiga kura hao wa mheshimiwa kwa anavyoamini, soon wataenda kupanga Airport mpaka ndani wala tusishangae, akili zake anazijua mwenyewe.
 
Stendi ya Kariakoo Gerezani imevamiwa na wamachinga mpaka kero , ni shidddda!!!! Sehemu za Abiria kusimama kwa ajili ya kusubiria daladala zote zimefunikwa na wamachinga pamoja na bidhaa zao. Viti vya kukalia ambavyo ni kwa ajili ya abiria kukaa kusubiri daladala vyote kwa asilimia kubwa wanakalia wamachinga. Rais wa mkoa saidia saidia saidia ! Watafutie sehemu sahihi ya kufanya biashara Hao Jamaa ili waache kutanga tanga like wise kwenye mitaa ya kongo, msimbazi n.k hakupitiki. Gari Kukatiza kwenye mitaa ile ni shida sana. Mpangilio wa City unaelekea kubaya.

Kama na wao wangekuwa wanasafiri kwa njia ya public wangekuelewa usemalo, lakini kwa hali ilivyo watafanya ziara hapo na maandalizi ya kuwasukumasukuma machinga kwaajili ya maonesho yatafanyika, conclusion ni mleta uzi kutafutwa kwa uchochezi
 
Stendi ya Kariakoo Gerezani imevamiwa na wamachinga mpaka kero , ni shidddda!!!! Sehemu za Abiria kusimama kwa ajili ya kusubiria daladala zote zimefunikwa na wamachinga pamoja na bidhaa zao. Viti vya kukalia ambavyo ni kwa ajili ya abiria kukaa kusubiri daladala vyote kwa asilimia kubwa wanakalia wamachinga. Rais wa mkoa saidia saidia saidia ! Watafutie sehemu sahihi ya kufanya biashara Hao Jamaa ili waache kutanga tanga like wise kwenye mitaa ya kongo, msimbazi n.k hakupitiki. Gari Kukatiza kwenye mitaa ile ni shida sana. Mpangilio wa City unaelekea kubaya.
Muwavumirie mpaka 2021 ndio utajua serikali itakachofanya sasa ivi wanatumiwa kama mtaji wa kisiasa lakini uchaguzi wa 2020 ukipita ni marufuku kufanya bihashara kwy Barabara zote, waache wajisahau Pesa wanayopata wafanyie upuuuzi watapata tabu sanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom