Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
Tanzania ndio Nchi pekee Dunian ambayo wananchi wake hawajui watakacho mpaka ulimwengu utakapokuja twaliwa na muumba ulimwengu.
Ukute mleta izi unaongea mambo ya ulimwengu ila hata mpakani mwa tanzania na nchi jirani hauwahi fika.Tanzania ndio Nchi pekee Dunian ambayo wananchi wake hawajui watakacho mpaka ulimwengu utakapokuja twaliwa na muumba ulimwengu.
Mkuu sijaelewa umeandika nn?Ukute mleta izi unaongea mambo ya ulimwengu ila hata mpakani mwa tanzania na nchi jirani hauwahi fika.
Huwezi elewa maana huo ndio utanzania kabisaKuanzia Muanzisha Uzi, Mpaka Wachangiaji Walio Hapo Juu Yangu, Sijaelewa Chochote!
Pumba Tupu!
Ungetupia mchele ingekuwa bora!! Nawe umeishia kushangaaKuanzia Muanzisha Uzi, Mpaka Wachangiaji Walio Hapo Juu Yangu, Sijaelewa Chochote!
Pumba Tupu!
Wananchi wa Malawi wamesema wanataka nini?Tanzania ndio Nchi pekee Dunian ambayo wananchi wake hawajui watakacho mpaka ulimwengu utakapokuja twaliwa na muumba ulimwengu.
Nani kaongelea Malawi hapa?Wananchi wa Malawi wamesema wanataka nini?
Wa-Tz tumekukosea nini hadi umetuita hatujui tutakacho?
Unaposema duniani kote si inamaana nchi zingine unazijua mahitaji yao?Nani kaongelea Malawi hapa?