luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,406
Mimi ni kijana wa miaka 22, mwanafunzi katika chuo kikuu maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Nina akiba ya shillingi laki tatu (300,000) nahitaji kufanya biashara yoyote ndogo hususan kwa kipindi hiki cha likizo ndefu.
Naombeni mwenye mawazo au fursa yoyote ile tushirikishane ili twende pamoja katika hili.
Pia nina ujuzi kiasi katika baadhi ya softwares kama
-Qgis
-ArchCAD
-AutoCAD
Pia nina leseni ya udereva, na ni dereva mzuri.
Natanguliza shukrani za dhati..!