Habari za majukumu waungwana!
Mimi si mpenzi wa mziki ila napenda kujifunza kupitia matukio . Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa...
Dunia ni yaajabu sana, binadamu ni viumbe wa ajabu sana pia,, hivi utajuaje kua alie mbele yako hana akili?
Wakati wewe ukiamini una akili walio nyuma yako nao wanakuona huna akili...
Hivi mtu...
Mara baada ya matokeo ya chaguzi ndogo kutangazwa kuku kukiwa na kizungumkuti cha mchakato mzima wa chaguzi hizo CCm wameamua kuhamisha mjadala wa chaguzi hizo. Hawa jamaa Wa Ccm watu Wa ajabu...
Niko maeneo ya wilaya ya Kilombero, kuna uhaba wa mafuta ya petroli, sijajua changamoto ni nini inayosababisha uhaba huo. sasa sijui kama ni kwa wilaya ya Kilombero tu, au na wilaya zingine za...
Rais Dr Magufuli hajapotoshw akuhusu mapato ya Halmashauri ya Majiji nchini kama alivyotoa taarifa hiyo alipokuwa anawaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni Ikulu Dar es salaam.
Tusichanganye...
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri...
Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli...
Ikiingia kwenye simu yako unakuta kuna majina umesave ila hukumbuki ni nani!mfano umesave merry ama Dick lakini huna idea yoyote kuhusu hao watu!
Ilu kuepukana na hali hiyo nimejikuta na save mtu...
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la Jamhuri na Tanzania Daima la leo kuwa vielelezo muhimu kwenye kesi ya mauaji inayomkabili mmiliki wa shule ya sekondari ya scolastica na wenzake vimetoweka...
Makazini na huko mtaani watu wanalalamika sana kuhusu kupotea kwa hela ama vyuma kukaza. Kiukweli hela ipo na watu wanaenjoy maisha sana maeneo haya haya tunayoishi. Pesa ipo kabisa!
Hakuna...
Wasalam watanzania wenzangu.
Najitokeza kwenu kuwaombea msaada kadri ya mtakavyoweza nisaidia. Sihitaji msaada wa pesa ila naomba kusaidiwa kazi.
Ki ufupi mimi ni graduate wa sheria chuo kimoja...
Asilimia kubwa ya wanasiasa(watawala/wapinzani) hawana maslahi chanya na nchi hii ya Tanzania.
Wengi wamejawa na Umimi wafike wanapotaka sio wananchi wafike sehemu inayowapasa.
Wapinzani hawawezi...
Usajili Wa Silaha Nchini
Fomu kwa Ajili ya Usajili Wa Silaha kwa mtu yoyote anayetaka. haijalishi na mzawa au Mgeni. Ipo katika lugha mbili.
1.Kwa Lugha ya Kiswahili kwa Ajili ya Wazawa
2.Kwa...
Wakati mwingine nasema Bora upinzani ufe ili uzaliwe upya. Haya Mambo yanakera kweli. Baba analia na watoto wanalia. Nani wa kuongoza wenzake
Yapo Mambo ya msingi na hoja za msingi zinazotakiwa...
Habari za usiku huu wakuu...
Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutuma pesa nje ya nchi kupitia mtandao huu pendwa (Vodacom).
Vipi kuhusu makato/ada ya transaction after to send money.. Ni sawa tu...
Habarini za saa hizi.Kuna jambo ambalo nimeona nishee na wanajamii kuhusu Marangu.Mimi mzaliwa wa Dar es salaam ingawa kwa kabila ni msukuma.Tangu nimezaliwa nilikuwa sijawahi kwenda mikoa ya...
Tofauti na Chadema ambao muda mwingi huutumia kumsifia Mwenyekiti wao na yule mgombea wao wa urais, CCM imeamua kuachana na siasa za kusifia mtu.
Source gazeti la Mwananchi!
====
Dar es Salaam...
Wadau,
Nina safari ya dharura kuelekea bondeni South Africa. Given the fact that my country is a SADC member, je naweza kutumia Temporary Passport kufika South Africa?
Muda wa kuprocess Passport...