Ashakum si matusi. Askari wa aina zote ni watu ambao binafsi huwa nawaheshimu na faham ugumu wa kazi waliyo nayo.kitendo cha askari wetu kumpiga mwandishi ambaye hakuwa na madhara yoyote kwao tena...
Iwe kwenye mahusiano au Masomo, mkifika huko wanatuonaje?
Maana nilisoma kwenye RAIA Mwema kuna jamaa alienda kwenye vijiwe vyao anasema ni heri angekutana na Mzungu kuliko Black America.
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana.
Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ameviagiza Kampuni za DSTV, Azam na Zuku kurejesha fedha za wateja walizokuwa wamelipia ving'amuzi kwani kampuni hizo zimekiuka sheria...
Haya magari ya shule za private huwa hayakaguliwi na trafic?
Leo ndiyo kwanza nimefika jiji la watu wa Dar Es Salaam,
Yaani kuna private school wana magari mabovu, hadi utadhani yamebeba...
WAKATI Tanzania na Uganda zikiweka mambo sawa katika ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda kwenda Tanga, Tanzania, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) nalo limeanza mchakato...
Habari za majukumu waungwana!
Mimi si mpenzi wa mziki ila napenda kujifunza kupitia matukio . Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa...
Dunia ni yaajabu sana, binadamu ni viumbe wa ajabu sana pia,, hivi utajuaje kua alie mbele yako hana akili?
Wakati wewe ukiamini una akili walio nyuma yako nao wanakuona huna akili...
Hivi mtu...
Mara baada ya matokeo ya chaguzi ndogo kutangazwa kuku kukiwa na kizungumkuti cha mchakato mzima wa chaguzi hizo CCm wameamua kuhamisha mjadala wa chaguzi hizo. Hawa jamaa Wa Ccm watu Wa ajabu...
Niko maeneo ya wilaya ya Kilombero, kuna uhaba wa mafuta ya petroli, sijajua changamoto ni nini inayosababisha uhaba huo. sasa sijui kama ni kwa wilaya ya Kilombero tu, au na wilaya zingine za...
Rais Dr Magufuli hajapotoshw akuhusu mapato ya Halmashauri ya Majiji nchini kama alivyotoa taarifa hiyo alipokuwa anawaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni Ikulu Dar es salaam.
Tusichanganye...
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri...
Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli...
Ikiingia kwenye simu yako unakuta kuna majina umesave ila hukumbuki ni nani!mfano umesave merry ama Dick lakini huna idea yoyote kuhusu hao watu!
Ilu kuepukana na hali hiyo nimejikuta na save mtu...
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la Jamhuri na Tanzania Daima la leo kuwa vielelezo muhimu kwenye kesi ya mauaji inayomkabili mmiliki wa shule ya sekondari ya scolastica na wenzake vimetoweka...
Makazini na huko mtaani watu wanalalamika sana kuhusu kupotea kwa hela ama vyuma kukaza. Kiukweli hela ipo na watu wanaenjoy maisha sana maeneo haya haya tunayoishi. Pesa ipo kabisa!
Hakuna...