Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Baba wa kizungu humzawadia mwanae pesa kwa ajili ya kusoma masters siku ya kuzaliwa kwake
Baba wa kiasia humzawadia mwanae pesa kama mtaji wa biashara siku ya mahafali yake
Baba wa kiafrika humzawadia mwanae mzigo wa kuikomboa familia siku ya kupata kazi