Kipi kati ya hivi kimekunyoosha awamu hii?

Kipi kati ya hivi kimekunyoosha awamu hii?

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
Kipi kati ya vifuatavyo umeshawahi kukutana nacho katika utawala huu kikakunyoosha;
1.TRA
2.TCRA
3.Uhamiaji
4.BASATA
5.Mahakama
6.Polisi
7.TISS
8.Watu Wasiojulikana
 
No 8 inapendeza zaidi

Wametuondolea mpk Akwilina wetu asiye na hatia haya maibilisi

Yakamcharanga Tundu Lissu risasi na mengine yakamtisha Nape kwa bastola. Haya Mashetani yamevamia mpk radio clouds na mpaka leo bado hayajajulikana...

Hayakuishia hapo yakamteka Roma Mkatoliki yakamtupa Ununio huko. Tunashukuru sana juhudi na utabiri wa bosi wa mkoa, Roma akapatikana kabla ya Jumatatu!
 
Naona Silas Mbise na Esther Matiko wamedondokea kwenye Category 6!
 
Uhamiaji na kitambulisho cha taifa, wameninyoosha kwa kutaka rushwa.
 
Namba 8 mkuu,
Mwandishi wa habari Azory
Ben saanane
Tundulisu
Aquilina binti mzuri asiye na doa.

Laana yake Mola wetu (ambae anawajua) ikaandamane na hawa watu, watoto wao na wajukuu wao milele.
 
Back
Top Bottom