Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,706
- 6,505
Habari kwenu watanzania,
huu ujumbe uwafikie TCRA na idara zinazo husika kusimamia maadili ya vyombo vyetu vya habari.
leo wakati nipo mahala flani nakula walikuwa wameweka tv channel ya starzone king'amuzi cha startimes. palikua na move sijui ni series inaendelea nilichokuja kushangaa ni kwamba inamaudhui yakishoga kabisaa tena kuna vijana wakiume wadogo wanakumbatiana wana kiss ana hata wanawake pia, kiukweli nilifadhaika saana nikafikiria ni vip watoto walionyumbani wanatazama hii movie, wanajifunza nini ukizingatia ni mapema asubuhi.
wito nawaomba TCRA wawemakini na wakisasa zaidi katika kusimamia maudhui ya vyombo vyetu vya habari maana wanaweza kuwabana wasanii wetu wa ndani alafu maadili yakaja kuharibiwa na maudhui ya nje ambayo kwetu hayana sheria yeyote au ukaguzi na usimamizi ulio dhabiti.
ving'amuzi vimekua na tv station za nje ambazo tunatofautiana katika usimamizi wa maadili hivyo ni muhimu kuzingatia hasa ukizingatia kipindi hichi maadili kua kama ushamba.
TCRA zinduka, wananchi tusifumbie macho haya maswala, tutoe taarifa.