KING KIBBA WEEE.. C KWA KIMOMBO HICHO

KING KIBBA WEEE.. C KWA KIMOMBO HICHO

Msikilizeni Kikwete anasema "this is the house I grew up".

Huyu jamaa kasoma, katembea nchi kibao, kawa Waziri wa Mambo ya Nje, kawa rais miaka 10, na bado anatembea nje mpaka kesho.

Hajui tofauti ya "this is the house I grew up in" na "this is the house I grew up"

Nipe grammatical error kama hiyo kwa Kiba nitakusikiliza, mambo ya accent hata Waingereza wenyewe wanazo.

Sijaona tatizo ni nini. Nimeangalia video.

Yani mnataka Ali Kiba aongee Kiingereza na Yorkshire accent?
nimeweka muone tu dogo yuko viwanja vya juu anafanya vitu vyake..
watanganyika mnabalaa kwelkweli[emoji12] [emoji12] [emoji23] mshaanza kubadili mada. na huu ndo uwezo wenu ulipokwamia[emoji12] [emoji12]
 
Video yenyewe audio quality ni very poor.

Halafu mtu anasema accent.
 
Inspector kwangu imekataa kufunguka. Kiingereza ni tatizo la nchi.
Hawa wanaopeleka watoto English medium angalau watavunja hii circle.
Kwa nini unahitimisha kuwa tatizo ni kiingereza wakati unasema haijafunguka?
 
nimeweka muone tu dogo yuko viwanja vya juu anafanya vitu vyake..
watanganyika mnabalaa kwelkweli[emoji12] [emoji12] [emoji23] mshaanza kubadili mada. na huu ndo uwezo wenu ulipokwamia[emoji12] [emoji12]
Wewe ndio unasogeza magoli baada ya kuumbuka. Title yako na ulichoandika ndani ni wazi ulitaka kuaminisha watu kuwa kiba kachemka.
 
nimeweka muone tu dogo yuko viwanja vya juu anafanya vitu vyake..
watanganyika mnabalaa kwelkweli[emoji12] [emoji12] [emoji23] mshaanza kubadili mada. na huu ndo uwezo wenu ulipokwamia[emoji12] [emoji12]
Sio kubadili mada.

1. Sijaona sehemu ulipoeleza makosa ya kisarufi yanayoeleza parts of speech. Unajua "parts of speech" ni nini?

2. Sijasikia kosa la kimantiki katika Kiingereza

3.Umejikita katika accent, Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-Moon alikuwa na heavy Korean accent, lakini alifanya kazi yake kama Katibu Mkuu wa UN. Waingereza wenyewe wana accents zao, siku moja nilikuwa nasikiliza muziki wa "Aarctic Monkeys" nikawa nafuatilia lyrics zao. Kuna watu wa Uingereza kusini wanawaponda hawa wanamuziki wa kaskazini accents zao za Kiingereza hazieleweki.

Unaelewa kwamba hata Waingereza wenyewe wana accents tofauti?

5. Kikwete huyo hapo anasema "This is the house I grew up".Wwhat he wanted to say "This is the house I grew up in" That is ungrammatical and illogical. Una a similar issue with Ali Kiba?

6. Video yenyewe ina very bad audio quality, unam judge vipi mtu accent yake kwenye video yenye bad audio quality?

7. Ali Kiba is an artist, not an intellectual. Have you listened to Ai Wei Wei? Do you even know who is Ai Wei Wei? Dalai Lama?John Magufuli?
 
Back
Top Bottom