NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
Ndugu zangu wana JF naomba mnielimishe kisheria kumdhamini mtu mazuri yake na mabaya yake yapi?Nitatoa mfano mtu anatarajia kupata kazi ya udereva kampuni flani anaambiwa moja ya mashariti awe na wadhamini na mmoja wapo awe mwanamke.Kwa ujumla wake nini maana ya kumdhamini mtu na hasara zake naomba msaada kisheria,kijamii,kiuchumi n.k