TARURA wamejitahidi kukarabati barabara kwa kiwango cha changarawe ila kero ni watu kuziharibu kwa kuweka matuta bila mpangilio maalum. Kila mtu anajiwekea kwake. Matuta haya yanatuharibia magari...
Hizi mamlaka na tozo za huduma ndo kusema bill haitoshi au tunapigwa?kwani NJOMBE maji ..kuna ubaya gani mkicharge unit 1 sh 2914/=?
sehemu nyingine tupeni uzoefu
Kutoka eneo la Kasulu Mjini karibu na ghorofa ya hotel ya high way, maeneno ya bar maarufu kama kwa Rose matako ,moto mkubwa unawaka….
Msaada kuweza kupata huduma ya zima moto
Sent using Jamii...
Maudhi mengi mara bando kiduchu,mara vile, mpaka unahama mtandao sababu ya maudhi, tukigoma je.
Just thinking out loud
Yout thoughts pls. Kwani nani kashika kwenye makali ?
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amewaagiza viongozi wa mitaa kuandaa daftari litakalosaidia kuwatambua wageni wanaoingia na kutoka...
Habari toka Mkoani Tanga kama zilivyotelewa na katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Tanga, zinapasha kuwa mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Tanga School ameuawa kikatili...
Shirika la afya duniani(WHO) linasema kwamba kuna ongezeko kubwa la kesi za ugonjwa wa surua zipo barani ulaya.
Zaidi yarobai na moja wameambukizwa katika miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2018...
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti, na wa mataifa BWANA aliyowaambia wana...
Habari za usiku wakuu
Nimekua nikiona kwenye filamu mbalimbali na makala za wanajeshi hasa vitani huwa wanakula vitu flani vipo kama biskuti flani hivi,kwa imani yangu nahisi huwa wanashiba sana...
Habari wa kuu?hua najiuliza huu mwili una nini?na Kwa nini inatokea bira ya kujitaalisha?iweje ata ukimuangali mtu kwa jicho flani hivi hua anashikwa na woga,au kuogopa kabisa?iweje ujue kuna kitu...
Hapa jiji la Dodoma maliasili wameleta sheria mpya ya kunyang'anya milango kwenye maduka ambayo ipo tayari kwa kuuzwa kwa kuwadai leseni ya mbao.
Sasa hatuelewi ni nini baada ya milango...
Mkutano mkuu wa 42 wa Kanisa la Baptist Tanzania Baptist Convention of Tanzania umemalizika salama jijini Dodoma.
Mch Arnold Manase - Amechaguliwa kuliongoza kanisa hilo kwa muhula mwingine...
Nashindwa kupata taswira kamili ya uchaguzi wa 2020 kwa kutumia katiba hii tuliyo nayo sasa. Iwapo tutaingia katika uchaguzi wa 2020 kwa katiba ya sasa, maana yake ni nini? Najaribu kueleza...
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan Akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Msaada wa Magoro 80 .Akipokea Msaada huo Mkuu wa Wilaya Mh Makonda ameushukuru Uongozi...
Huyu kamanda Muroto ana maneno kweli msikilize:
MTU MNENE AFYA NZURI LAKINI MHALIFU, USISHIKISHE TUMBO KWA KUIBA, KAZI ZA UJANJA UJANJA HAKUNA, WACHA KURUDISHA TUMBO TUSIONE KUWA HUNA TUMBO FANYA...
Nina hasira sana....sitosalimia maana naweza anza na tusi bure.
Kuna traffic officer hapa maeneo ya tabata reli kwenye njia panda ya kuingia tabata na barabara ya buguruni akili zake za kuazima...
Wana JF,
Kuna Facebook page ya NatGeo Wild Live, Mara nyingi wanarusha "live" mihangaiko ya simba au chui wakiwinda toka Krugger Game Reserve- Sabi, huko Africa Kusini.
Nikihesabu viewers wa...