Njombe kulikoni maji aghali

Njombe kulikoni maji aghali

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
Hizi mamlaka na tozo za huduma ndo kusema bill haitoshi au tunapigwa?kwani NJOMBE maji ..kuna ubaya gani mkicharge unit 1 sh 2914/=?
sehemu nyingine tupeni uzoefu
1534784762750-186307848.jpg
1534784803051975981392.jpg
 
Wengine Tanga mjini na maeneo ya jirani tunauziwa tope la maji kwa bei hiyo hiyo.
Yaani maji ni machafu sana!!
 
Back
Top Bottom