Kwa wakazi wa Daresalaam tukutane ktk viwanja vya Shule ya Sekondari Benjamin Mkapaasalam aleykum ndugu zangu napenda tujuzane viwanja vitakavyotumika kuswalia swala ya idi kesho tar21 inshaallah.
Swala ni ibada na kazi pia ni ibada kila kimoja kina wakati wake. Ama suala la mapumziko ni maamuzi ya mtu.Tunaswali vipi waqt ni siku ya kazi ?
Bakwata walikurupuka kwenye kutangaza hii sikukuu. Kenya . Uganda . Misri. Rwanda etc mapumziko ni leo. BAKWATA mna nini ?Swala ni ibada na kazi pia ni ibada kila kimoja kina wakati wake. Ama suala la mapumziko ni maamuzi ya mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaswali answalisuna nyinyi wengine ngojeni Jumatano yenu.....Tunaswali vipi waqt ni siku ya kazi ?