Msaada: Mahali zilipo ofisi mpya za Taxify Tanzania

mzeemzima

Senior Member
Apr 14, 2010
122
78
Wadau naomba kujuzwa mahali zilipo ofisi mpya za Taxify Tanzania , inaonekana wamehama hapa walipokuwa karibu na ofisi za zamani za DSTV, tatizo ukiulizia kwa watu wa karibu hapo wengi hawajui wamehamia eneo gani.

Natanguliza Asante
 
Wadau hakuna yeyote anayejua hii location?
 
Kampuni nyingi zinazofanya online business huanzaia Ofisi yao online kabla ya kuweka physical loaction
 
Back
Top Bottom