JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Na M Chumvi.
Subra ilizungumzwa kwenye vitabu vya dini kuwa, mwenye Subra yuko karibu na Mungu.
Hili sio jambo la mchezo Bali kila mwenye akili yampasa kutafakari juu ya mambo afanyayo.
Kama hilo halitoshi, Mkuu Wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Mhandisi Tumain Magesa amewaasa waislamu kuwa na subra.
Mhandisi magesa amefikia hatua hiyo kufuatia kifo cha aliyekuwa Shekh na Mwenyekiti Wa BAKWATA Wilaya, Mussa Mdugi aliyefariki akiwa na miaka 103.
Katika wasia wake ilielezwa kuwa Shekh Mdugi aliongoza katoka wadhifa huo miaka 23.
Pamoja na mambo mengine Shekh Mdugi enzi za uhai wake aliwasihi watu kupendana na kuacha kutofautiana katika mambo ya msingi.
Shekhe Mdugi amezikwa nyumbani kwake Kijiji cha Dosidosi Wilayani Kiteto Manyara Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app