Ushauri kwangu na mapendekezo kwa serikali

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
788
1,000
Wakuu habar za juma pili,
Niende kwenye hoja,si mala moja utasikia viongozi wetu hasa wa miaka ya nyuma yani walio soma miaka ya nyuma utasikia anakwambia mm ni daktari lakini pia ni mwandisi mana yake amesomea mambo yote hayo kwa sababu walipewa nafasi na ndii mana malengo yao yakatimia,najua kuna baadhi ya watu wapo katika kada flan lakini kiuhalisia wanaitaji kuwa katika kada nyingine au wanapenda tu kupta maalifa ya kada nyingine lakini miaka ya hiv kalibuni serikali imekataza kabisa watu kusomea kada nyingine yani hata kusomea tu unafukuzwa kazi tuna ona hata viongozi wetu wa juu walikuwa watumishi wa kada flan wakaenda kusoma na kupata kile walicho kiitaji bila buguza yoyote lakini kwa sasa ukifanya hivyo kazi huna.hiv sababu ya kufanya hivyo ni nini?kwa nn wasingeweka mikakati tu mizur ya kuongoza wanaotaka kufanya hivyo kwa mfano wakasema kama ww ni mtumishi wa uma na unataka kubadili kada basi mtumishi akajisomeshe mwenywe serikali isigalamike kwa lolote kuliki haya ya sasa ukisubutu kufanya hivyo mala moja unafukuzwa kazi je viongozi waliopita wangefanya hivyo hivyo leo nyinyi mngekuwa na fani tofauti tofauti.hii siyo swa kabisa serikali iliangalie hili tunaweza kuwa tunapoteza watu wenye ufanisi wa kazi katika kazi flan ambazo wanaweza kuzifanya kwa ufanisi na kujituma zaidi.imeniuma zaidi ya miezi 8 sasa nasubili hatima ya kazi yangu kwa kwenda kusomea uhandisi ikiwa mm nilikuwa mtabibu.naombeni ushauli pia ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom