habari wadau.
nje ya nyumbani kwangu ubungo makuburi maji yanamwagika.. 3 days.. dawasco wamepigiwa simu hawakuja.. bahati nzuri leo wamepita na bajaj yao.. wakaambiwa maji yanavuja hayo yanaleta madimbwi mtaani.. wakadai wapozwe ndio wazibe maana hawana vifaa. na hawakuja kwa ajili ya kuziba bomba hilo..
mitaa mingi sana ya ubungo mabomba yanavuja maji..
maji mengi sana yanapotea kwa kuvuja na hii inaleta hasara kwa dawasco..
bosi wa dawasco jiangalie.. hapa natafuta namba ya uncle magu nimtumie mauza uza yenu
asilimia zaidi ya 80 watanzania hawana maji.. nyinyi dawasco mnachekelea maji kumwagika ovyo mitaani na kupotea.. kweli kuzaliwa africa ni laana