Vodacom mmeona tunafaidi vifurushi vya Chuo?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Kati ya vifurushi vilivyokuwa vinapangiwa foleni kubwa maeneo ya chuoni basi kifushi cha Vodacom.
Walikuwa wanatoa

Kwa Sh 300 unapata dakika 30 sms bila kikomo na Mb 350 ....Kwa siku

Kwa Sh 500 unapata dakika 50 sms bila kikomo na mb 500 ....Kwa siku

Kwa Sh 1500 ulikuwa una pata dakika 50 sms bila kikomo na 1gb kwa wiki.

Kwa sh 500 ulikuwa unapata mb 500 kwa wiki.

Lakini sasa wamevipunguza

Kwa sh 1000 una pata Mb 400 kwa wiki hakuna cha sms wala dakika.

Kwa sh 2000 unapata 1gb kwa siku 7 hakuna cha sms wala dakika.

HAKIKA MMETUWEZA.
 
vodacom? ....kampuni inayoamua kupanga bei kila inapojiskia,nimeichoka na nimeacha kutumia, yaani naitumia kwa sababu napata vocha za bure ofsn, lakini internet natumia airtel na huwa najiunga tigo university offer pia uni- airtel
 
Wameanzisha utaratibu kama wa TIGO, wanafunzi wote wanatakiwa kujiandikisha, kisha ukishajiandikisha unaweza kujiunga mahali popote huhitaji kwenda kujiungia chuo, Vodacom Tanzania njoo utoe ufafanuzi, je ni kweli mnataka kufanya utaratibu huu kama wa tigo?
 
Mkuu nina laini ya Airtel ipo ipo tu, kwenye Offer ya University unapata vifurushi gani?
 
Wameanzisha utaratibu kama wa TIGO, wanafunzi wote wanatakiwa kujiandikisha, kisha ukishajiandikisha unaweza kujiunga mahali popote huhitaji kwenda kujiungia chuo, Vodacom Tanzania njoo utoe ufafanuzi, je ni kweli mnataka kufanya utaratibu huu kama wa tigo?
Hakuna lolote. Mbona tigo tunajiunga hata kama hujajiandikisha. Wamebadilisha code. *149*42#
 
Back
Top Bottom