Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi wa Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke ndani ya Manispaa ya Ilemela kuhusu tatizo kubwa la ukosefu wa maji ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sasa.
Kwa sasa...
Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then...
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta...
Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni.
Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza...
Walevi naombemi majibu bila makasiriko maana wapiga bapa huwa hawapendi kuitwa walevi
Hivi pombe za kunywea nyumbani huwa hazipandi mpk utoke uiache familia ukazungukwe na bar maids na kundi la...
Je wenzangu mmeshawai kusikia mt akisifia airbags za kwenye gar ikimnusulu kuvunjika,kufa au kumpunguzia na majeraha? Je,wenzangu mmeshawai ona airbags zikitumika kwenye ajali tofauti tofauti?
Najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana
Kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary
Kwenye Michezo utakutana na...
Historia ya Wahaya
Wahaya ni moja ya makabila makubwa na ya kale nchini Tanzania, wanaopatikana zaidi mkoa wa Kagera, hususan wilaya za Bukoba, Karagwe, Muleba na Missenyi. Pia hupatikana kusini...
najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana
kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary
kwenye Michezo utakutana na...
Salama!
Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na...
Ujumbe umepokelewa toka kwa ndugu zetu katika imani. Kumbe pia kuna madaraja.... Huwa tukisema watu mnajipendekeza kwa watu hamtakiwi. Mnabisha. Bado hawajaja waarabu nao wakasema Mlevi wa...
#HABARI Kijana mmoja mfanyabiashara mkazi wa Mbugani Jijini Mwanza, anayejulikana kwa jina la Mzafaru Yunus (26), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kikatili ndani ya Baa iliyopo Kona...
Baadhi ya wanaharakati huko kwenye mtandao wa X wanadai mwandishi wa habari za uchunguzi bwana Fortunatus Buyobe ni mtu wa system anatumika kuwauza.
Mmoja ya wanaharakati hao ni Mshabaha ambaye...
Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu...
Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi.
Nilifika kituoni mapema saa...
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta...
Habari wanajamii
Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha?
Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya watumishi wa Idara ya Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela huku akiahidi kuzungumza na Katibu Mkuu wa...