GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Kila thread ninayoianzisha nikiangalia kwenye hiyo forum nakuta yangu ina alama ya Jicho " kwamba Thread ipo watched" najiuliza why threads zangu zinakuwa watched ? je zina uhatari wowote au kwa nini ziwe chini ya uangalizi mkubwa kiasi hicho?
kwa Moderator au mtu yeyote mwenye ufaham na jambo hili. maana kuna kipindi ilikuwa nikiweza thread inakuwa pending hata siku nzima sijui inajadiliwa kwanza kwenye vikao au vipi na inaweza isiruhusiwe kabisa kuwepo au ikaja ruhusiwa kesho yake. wakat mwingine inaenda fichwa huko kunako... hasa threads za kisiasa na intellejensia. haya mambo yananipa maswali mengi. najikuta sometime labda niwe nashinda MMU tu. nako kuna bore kuna corrupt mind tu hamna la maana.