Hakika nawaza sana Maisha ya nyuma na ya sasa hapa Tanzania kuhusu swala la umeme,mabadiliko ni makubwa mno,mbali na hitilafu za kawaida kama Transformer kuungua na nguzo kuanguka
suala la umeme...
habari jf
kama tunavyo fahamu kazi ya polisi ni kumlinda raia na mali zake lakini aikua hivyo
jana majira ya saa 5:00 usiku nikiwa natoke shamba maeneo tuliani nikielekea mjini nikiwa nimebe...
Babu wa Loliondo
Dr shika
Makontena zawadi kutoka ughaibuni.
Richimondi.
Eskoro na makandokando yake.
1.5 trillioni
kwa mtazamo wangu tunajadili na kuyaacha mambo haya makubwamakubwa na...
Imekuwa ni muda sasa tangu sheria mpya inayohusu kulipa mpaka mwanachama afikishe umri wa miaka 55-60 kulipwa mafao yake pasipo kuzingatia sababu za kuacha au kupoteza ajira ya MTU husika!
Lakini...
Rajab Kilavula mkazi wa Vingunguti Mchongomani ameuawa/amenyongwa na watu wasiojulikana na kuporwa Bajaji.
> Maiti ya bwana Rajab yakutwa maeneo ya karibu na Super Doll iliyopo Barabara ya...
Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme
Inawezekana kwa namna moja au nyingine unaifahamu hifadhi lakini kuna baadhi ya vitu hivijui kuhusu hii hifadhi au ikawa unaiskia tu lakini huijui kiungani hebu tiririka nami nikuelezee...
Kwanza tuwekane wazi,
kupokea simu ya mtu ni hiari tu wala si lazima na ndo maana kuna option tatu simu ikipigwa
1.Pokea
2.Kausha ipige hadi mwisho
3.Bonyeza kitufe cha kukata,
kwanini mara...
Watanzania 27 wamekamatwa mjini Mombasa Kenya baada ya kuingia nchini humo bila vibali maalum.
Mamlaka ya usalama huko Mombasa inaendelea na mipango ya kuwarejesha nchini kwao.
Baadhi ya watu...
Wale WoteWalisosoma Shule ya Msingi Katoro Iliyopo Geita Tukutane hapa.Lengo nI kufahamiana na pia Kuishukuru Shule na Walimu kwa Kusaidia baadhi ya Maeneo (Kuwa Socially Responsible)
Naomba kuuliza ni Benki ipi ina riba nafuu zaidi,pamoja ni mkopo wa muda mrefu(zaidi ya miaka saba)
============================================================
Hii Benki ya BOA ipo wapi kwa mimi...
Wakati mwanamfalme wa Kiafrika na karani mmoja mwanamwali Mzungu wa maisha ya wastani kutoka kwa wamiliki wa bima wa Lloyd, walipoamua kuoana mnamo mwaka 1948, ilichochea hisia mbalimbali nchini...
Wakuu nimekuwa sielewi kuhusu hichi kitu
Naomba mnijibu haya maswali
1)Hivi kila sayari mwisho wake (Qiyama chake) ni siku moja na dunia??
2) Je wanaopaswa kwenda motoni ni binadamu na...
Naamini kabisa hakuna aliyejiumba au kichagua azaliwe mweupe, mweusi, mfupi mrefu au mgumba au mwanaume mashine au sio mashine
Ninacho amini Ni kwamba jamii yetu imehishikilia mambo ya hovyo...
Wengi hawajui kwanini Iddi Amini aliitwa Iddi Amin Dada.
Alipokuwa jeshini alikuwa anabadilisha wanawake kama nguo.
Kila mwanamke alipokuwa akimtembelea Iddi Amini aliwaambia wanajeshi wenzake...
Wadau mambo yanaendaje???
Mdau mmoja amenishirikisha story kuwa alikuwa ameingia tu kwenye Nyumba ya wageni
Moto hata hajawasha Mara sauti ya nyimbo zambi inaua zambiii!!!!!x8 kutoka kwa...
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa Kijijicha Isitu Wilayani Mbarali ambaye amefahamika kwa jina la GEOFREY EMILIO MWANGANGA [21] kutokana na kumuua mtoto wake...
Mkuu WA Mkoa WA Tanga Leo ametoa maagizo Kwa mamlaka zilizo chini yake kuwaadhibu Kwa kuwachapa viboko walimu ambao watawachapa wanafunzi viboko hadi kudhurika .
Source ( Fountain Radio)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.