Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Jana nikiwa Mombo nilimwona kijana mmoja wa kijapan amejibandika matangazo kifuani na mgongoni. Nilimwuliza kulikokoni akanieleza kuwa aliibiwa juzi vitu
vyake ndani ya basi la Kidia one akisafiri kati ya dar Arusha. Kamera laptop na daftari 5 among other things. Vitu hivyo ni vina Research work aliyofanya miezi 6. Anaomba
Msaada apate daftari zake. Na kama unavyoona yuko tayari kutoa 300,000/-
Habari hii inatia uchungu sana. Tafadhali saidia kusambaza kwa makundi mengine huenda akafanikiwa. Tumemshauri pia aende clauds fm na media house zingine.