Mbuzi na Kondoo 200 Wakatwakatwa Mapanga Morogoro

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
moro-2-1.jpg


Waziri wa Mifugo na Kilimo, Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa na Mkuu wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo (mwenye kofia kutokea kulia) wakielekea eneo la tukio.

moro-3-1.jpg


moro-5.jpg


Mwigulu Nchemba (katikati) akiangalia mifugo waliokatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo.

moro-6.jpg


Kikao kikendelea.

Zaidi ya Mbuzi na kondoo 200 huko Dihinda Mvomero mkoani Morogoro wamekatwakatwa na walinzi wa jadi kutoka Gairo wanaojulikana kwa jina la Mwanu ‘

Taarifa zinadai kuwa mifugo hiyo ilikula nusu ekari ya mazao ya mkulima mmoja kijijini hapo na taarifa zikawafikia walinzi hao ambao walifika na kukatakata mifugo hiyo mali ya mama mmoja mjane mfugaji wa jamii ya kimasai

Lakini Inadaiwa kuwa mifugo ya mama huyo haikuhusika kula mazao hayo bali ni mifugo ya mfugaji mwingine. Mbuzi na Kondoo 200 Wakatwakatwa Mapanga Morogoro
 
Back
Top Bottom