Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama...
Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuwaka moto huko Dunga
Gari hilo aina ya Toyota IST lililipuka baada ya tenki...
Tunajua yule aliemfufua bwana Yesu, Atatufufua sisi pamoja na Yesu na atatuweka mbele pamoja nanyi;:
Huyo ana wafufua atakuwa nani? Wakati Yesu ndo Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu..........
Kwa kipindi kirefu kumekua na kampeni za uhamasishaji juu ya upimaji wa afya....
Kama mjuavyo kwasasa kuna hii kampeni iliyozinduliwa na Mh Waziri Mkuu inayo wahamasisha...
Hawa jamaa wanazidi kuushangaza ulimwengu na kutuangusha wanaume
Hata neno robo tatu hawawezi kusema wanaita nusu na robo
Dume zima linaenda dukani kununua unga linasema"naomba unga nusu na...
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.
Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.
Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza...
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha.
Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika...
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
Wakuu habari,
Kama sikosei tangu majuzi kumekuwa na tatizo la thread moja kupostiwa zaidi ya mara moja,mda mwingine hadi mara tano thread hiyo hiyo,mtoa mada huyo huyo,muda huo huo na jukwaa hilo...
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
Nilikuwa namsikiliza vizuli huyu mchungaji azambi mahubili yake yakirushwa kupitia redio kuna somo alikuwa anaelezea kuhusu mambo ya uchawi na kurogana lakini kitu ambacho nimekisikia ni kwamba
Na...
Mko bye bandugu nangai!!?wacha leo niwaelezee hii misingi ya kupata chochote kile kilicho chini ya jua,iwe ardhini au baharini...maana sasa hizi kokoro zimezidi kuwa pasua kichwa. Mtu mzima nataka...
Kumekuwa na tabia ya makarani wa mahakama kuomba pesa pale unapokwenda kuhakiki baadhi ya nyaraka huku ukiwa na original nyenyewe mfano..cheti cha ndoa,cheti cha kuzaliwa,vyeti vya shule,nyaraka...
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
#NipasheJumapiliHabari “Mbona Mheshimiwa Rais alishasema tusinyanyaswe? Nani anasema tuhame na twende wapi? Rais alishawaambia watuache sasa wanataka kutuupeleka wapi?” alihoji mmoja wa...
kwa wale wanaofahamu,gharama za kwenda nchi hizo mbili kutokea dar es salaam,kwa kutumia njia ya maji(boat) au ndege...ni vitu gani muhimu natakiwa nijue,gharama zikoje huko,kama msosi,malazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.