Gharama za kusafiri hadi Comoro na Mauritius | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kusafiri hadi Comoro na Mauritius

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by snochet, Aug 5, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwa wale wanaofahamu,gharama za kwenda nchi hizo mbili kutokea dar es salaam,kwa kutumia njia ya maji(boat) au ndege...ni vitu gani muhimu natakiwa nijue,gharama zikoje huko,kama msosi,malazi na usafiri.nashukuru..waiting for your comments
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Usiende tu
   
 3. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nataka kujua gharama za huko'maana napanga kwenda honey moon maeneo hayo'mwenye data hebu tujuze
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  swali zuri.

  Hasa usafiri wa ndege, boat zinatisha siku hizi.
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Swali barabara. Kama kuna wanaofahamu kwa ndege za kukodi pia, nitashukuru.
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  hizi info ni muhimu sababu hata mimi nataka kwenda huko kucheki fursa za kijasiliamali. wenye info tupeni
   
Loading...