Hoteli nzuri Moshi mjini

Hoteli nzuri Moshi mjini

young j

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
59
Reaction score
17
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom