Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda.
Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele.
Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza kuuwawa kizembe afu muanze kusingizia police wamekuwaje sijui. yule mgambo alistahili kipigo kitalatifu, maana ni muuaji yule.
Na wabaki hukohuko dar wakija huku mkoa tutawagawana kama pilau la IDD