Nachanganyikiwa...2 wakolinto 4;14

Nachanganyikiwa...2 wakolinto 4;14

mnang'umba

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
471
Reaction score
150
Tunajua yule aliemfufua bwana Yesu, Atatufufua sisi pamoja na Yesu na atatuweka mbele pamoja nanyi;:
Huyo ana wafufua atakuwa nani? Wakati Yesu ndo Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu sio Mungu bali ni mtume wa Mungu

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Usipoelewa na hapa basi
375px-Shield-Trinity-Scutum-Fidei-English.svg.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Theologically swala la utatu Mtakatifu linahusika lakini in short anaezungumziwa hapo ni Mungu mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom