radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
#NipasheJumapiliHabari “Mbona Mheshimiwa Rais alishasema tusinyanyaswe? Nani anasema tuhame na twende wapi? Rais alishawaambia watuache sasa wanataka kutuupeleka wapi?” alihoji mmoja wa Wafanyabiashara./ Machinga wakaidi amri ya Majaliwa Nipashe Tanzania on Twitter
View attachment 854045
View attachment 854045