Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama yamwondolea DPP mamlaka ya kuzuia dhamana Mwenye kesi hii naomba aniwekee pm if possible!
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Katika inchi za Dunia ya 3 na 4 bila viboko Wanafunzi wataenda mashuleni na Pombe , Sigara, Bangi na Arusha na Moshi watabeba Mirungi viboko viendelee kuleta utiisho kwa watoto. Atakaye kosea...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Mwaka juzi nikiongea na rafiki yangu wa uingereza Linda Clarkson aliniambia kwamba amewahi kujitokea kufundisha Tanzania shule moja ipo kigoma, Alichukia sana viboko shuleni mpaka kuwatisha wenye...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa kuhusu gharama ya kwenda Afrika kusini zikoje ukizingatia nauli ya kwenda na kurudi,kulala siku mbili hotelini je,kwa kukadiria inaweza kuwa shilingi ngapi za kitanzania.maana...
1 Reactions
32 Replies
13K Views
Moderator huu uzi unajitegemea . naomba msiuunganishe na mwingine wowote. tusije onana wabaya (i am kidding) kutokana na matukio mengi ya kudhalilishwa utu wa binadamu wa jinsia zote za kike na...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Nilikuwa na shauri la kikazi ofisi ya rais Ikulu. Rufaa yangu haijakubaliwa. Nataka nipeleke shauri langu mahakama kuu kitengo cha Kazi.nitaratibu zipi nifuate?
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Nimeshitushwa na muonekano wa mwalimu mmoja kati ya wawili wanao tuhumiwa kosa la mauaji ya mwanafunzi mkoani kagera kukusuduia . Katika picha akiwa eneo la mahakama anaoneka akitabasamu wakati...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Wana jf tunaofukuzia pesa kwenye tatu mzuka tukutane hapa lengo Ni kuendelea kutiana moyo,kupeana maujanja Zaid,kutakiana her na kufarijiana.one day yes.nu marufuku kukata tamaa.nawakaribisha...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Huyu dogo zamani kipindi ana miaka2 nilikuwa namwekea video za cartoon za kudownload zile ndefu ....kwa sasa ana miaka 3.2 ndugu nilimfundisha kuangalia video YouTube Leo najuta.... Hataki za...
8 Reactions
133 Replies
11K Views
AMEWAAMBIA MAAFISA KTK WIZARA YAKE WATAKAOSHINDWA KWENDA NA KASI YAKE BORA WAJIUZULU!AMEAHIDI KUTEKELEZA MALENGO NDANI YA MIAKA 3 MIAKA 2 INAYOBAKI YA KUMALIZIA MALIZIA.Naibu waziri mwakyembe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za kuhusika kwenye matukio mbalimbali ya uhalifu wakiwemo watu sita wanaodaiwa kukutwa na silaha moja ya kivita aina ya AK47 ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji382][emoji382] *HATARI YA CHANJO KWA WATOTO MASHULENI.*[emoji382][emoji382][emoji382] ``` Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo...
18 Reactions
105 Replies
13K Views
Narudia tena kuleta huu uzi hapa je TRA eneo la kariakoo limewashinda? Hii tabia ya kiburi ya wafanyabiashara kutoa risiti isiyoendana na mauzo ndio utaratibu mlio uruhusu? Kama mnajifanya hamna...
4 Reactions
71 Replies
6K Views
Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania > Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mzuqa wanaJamvi, Homu ni homu tuu Yani mvua inaponyesha kwa nguvu halafu nyumba imeezekwa na bati "galsheet" ile kelele na kawinter flan halafu ni night. Pemben yako huko na demu wako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kwa mfano ukifanikiwa kujenga nyumba yako ya kuishi na familia yako ikawa ndogo ya watoto wawili na mke.. Then ikawa unaweza kuingiza laki tatu tu kwa mwezi huezi endesha maisha..? Sent...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenyeji wa mkoa huu, nipo Moshi mjini hapa nitakuwepo mpk wikend hii iishe, tujuzane viwanja vya kisasa vya kuburudika ambavyo vinabamba kwasasa, pia maeneo wanayopatikana akina Manka maana sitaki...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii, natumai nyote ni wenye siha njema. Kwa wale waliyo na shaka kwenye afya zao, Mungu awajalie soha njema na awaondoshee maradhi. Naomba niwasilishe hili Mtanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimefuatilia thread nyingi sana unakuta 90k views ila 1k comments...nimejiuliza sipati majibu...ni kwann
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu. nawasalimu sana sana. Baada ya salamu naomba nieleze kua serikali haichangii chochote kwenye uzalishaji wa kahawa na hakuna msaada wenu. Bado mnanunua kwa bei za chini yaani nipate hasara...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…